Kimpa kisangameni wimbo wa FRANCO

Kimpa kisangameni wimbo wa FRANCO

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,795
Reaction score
48,056
Gwiji wa muziki wa Zaire hayati franco luambo makiadi aliwahi kuwa na mdogo wake wa kiume aliyeitwa Bavon Marie ambaye alikuwa mwanamuziki kama kaka yake,ila yeye anatajwa kuwa aliimba nyimbo za vijana zaidi wakati huo
Bavon alifariki 5 Agosti 1970

SABABU YA KIFO CHA BAVON
Bavon alifariki kwa ajali ya gari japo mitaani yalienea maneno kuwa alitoka kugombana na Franco kisa mwanamke aliyeitwa Lucy, mwanamke huyo alikuwa ni mpenzi wa Bavon na walizaa mtoto mmoja ,lakini Franco alidaiwa kuwa na mahusiano na mpenzi wa mdogo wake hivo ukatokea ugomvi ,Bavon akaamua isss okee [kwa sauti ya liquid] akamchukua huyo mwanamke akamwambia twende unipe mwanangu,wakiwa kwenye gari unadaiwa kutokea ugomvi kwani Bavon alikuwa na hasira akawa anampiga huyo mwanamke kitu kilichopelekea asione roli lililokuwa mbele yao akaligonga na kufa hapo hapo ila mwanamke alivunjika miguu yote

Baada ya kifo cha mdogo wake,Franco aliacha kutoa nyimbo akaomboleza kwa zaidi ya mwaka baadaye akatunga wimbo ulioitwa kimpa kisangameni akimsihi mama yake awe makini kuna mchawi anaiandama familia,wameanza kumuua Bavon na yeye Franco anafuata hivo mama yao atazikwa na nani ? watoto wote wamekufa

Munu malie malie ta ndila pia ni moja ya nyimbo franco aliimba kumuenzi mdogo wake ikimaanisha namlilia marie

NB
Nipo najaribu kutafta tafsiri yake yote niiweke hapa
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    7 KB · Views: 93
  • kimpa_kisangameni_franco_franco_le_tpok_jazz_1983_mp3_58673.mp3
    kimpa_kisangameni_franco_franco_le_tpok_jazz_1983_mp3_58673.mp3
    3.8 MB · Views: 68
Mleta Uzi,ntaanza kufatilia San post zako.mp wachach San,wat km ww him ndan
Mm pia Ni mpenzi wa miziki ya hayati Franco
Ninazo nyimbo za Franco zaidi ya 100
Azda
Attention na sida
FC 105 du Gabon
Colonel bangala
Naloba Nini
Très impol
République du Zaïre
Matata ya mwasi
Muongo na mulozu
Sadou
Mamou
Mario
12600 lettres
Coopération odongo
Azron
Liberté
Makambo ezali minene
pesa position
Candidat na bisso de Mobutu
Helena
Ngungi
Muya
Zipo nyingi mno
 
Asante sana mkuu fanya utupe tafasiri ya wimbo wote ni mmoja wa mashabiki wa franco
Tafsiri fupi ya Wimbo azda
Azda ilikuwa Ni kampuni uuzaji wa magari ya voxwagen ,Franco akapewa dili ya kutoa tangazo ndipo likamnogea akaamua kutoa na Wimbo
Elok na Zaire vewe vewe vewe,(VW_VOXY WAGEN) akotu na azda azda,Kinshasa mobimba,vewe vewe vewe okot na azda,kisangan mombimba vewe vewe vewe okot na azda azda,
Anasema Kinshasa,kisangan,hata mbuyi mayi nunuen VW kupitia kampuni yetu ya AZDA
Zaire yote Ni voxy wagen,Mimi pia ninalo unangoja Nini ewe mwana Zaire? Nunua vw,na azda
Kiufupi hiyo ndio MANTIKI ya wimbo huo,nitaweka Tena tafsiri fupi ya nyimbo zake Kama
12600 lettres,makambo ezali, coopération odongo,candidat de Mobutu nk
 
Kwa habari ya Tafsiri Sahihi ya Kilingala kuja Kiswahili wasiliana na Tshimanga Kalala Asossa Joachim a.k.a Papaa Tshim (Unaisoma Chim) yeye ni hodari na muadilifu sana kutoa tafsiri inayokubalika. Pia Asossa ameishi na wote hao Franco na mdogo wake Bavon. Kabla ajali haijatokea Asossa alikua na Bavon na aliushuhudia kwa macho yake huo ugomvi. Asossa hafichi namba yake ya simu huwa anaitaja hadharani TBC FM akiwa na Mbazigwa Hassan. Namba yake ni +255 713 240 735. Mtafute akupe tafsiri utuwekee hapa.
 
Kwa habari ya Tafsiri Sahihi ya Kilingala kuja Kiswahili wasiliana na Tshimanga Kalala Asossa Joachim a.k.a Papaa Tshim (Unaisoma Chim) yeye ni hodari na muadilifu sana kutoa tafsiri inayokubalika. Pia Asossa ameishi na wote hao Franco na mdogo wake Bavon. Kabla ajali haijatokea Asossa alikua na Bavon na aliushuhudia kwa macho yake huo ugomvi. Asossa hafichi namba yake ya simu huwa anaitaja hadharani TBC FM akiwa na Mbazigwa Hassan. Namba yake ni +255 713 240 735. Mtafute akupe tafsiri utuwekee hapa
Kwa hiyo ni kweli kwamba Franco ndiye alikuwa chanzo cha kifo cha mdogo wake na kwenye wimbo alikuwa kama anajiliza tu ili kulinda tu heshima yake?
 
Mm pia Ni mpenzi wa miziki ya hayati Franco
Ninazo nyimbo za Franco zaidi ya 100
Azda
Attention na sida
FC 105 du Gabon
Colonel bangala
Naloba Nini
Très impol
République du Zaïre
Matata ya mwasi
Muongo na mulozu
Sadou
Mamou
Mario
12600 lettres
Coopération odongo
Azron
Liberté
Makambo ezali minene
pesa position
Candidat na bisso de Mobutu
Helena
Ngungi
Muya
Zipo nyingi mno
Helena ni nyimbo alimtungia mama yake mzazi anaitwa Helena Bongama
 
Mm pia Ni mpenzi wa miziki ya hayati Franco
Ninazo nyimbo za Franco zaidi ya 100
Azda
Attention na sida
FC 105 du Gabon
Colonel bangala
Naloba Nini
Très impol
République du Zaïre
Matata ya mwasi
Muongo na mulozu
Sadou
Mamou
Mario
12600 lettres
Coopération odongo
Azron
Liberté
Makambo ezali minene
pesa position
Candidat na bisso de Mobutu
Helena
Ngungi
Muya
Zipo nyingi mno
Mimi nahusudu sana ule wimbo wa Ekaba Kaba.
 
Candidaa ya Bisso ilikuwa uchaguzi Zaire kipindi hicho nadhan 1975 au 1977 Rwambo ilibidi amtungie Mobutu nyimbo ya campaign ya kumfagilia awe Rais..baadhi ya mashairi ni..nzambe atino yo..yaan Mungu amekutuma kuwa Rais .pia anasema belela na kombo ya mobutu yaani tangazeni jina la mobutu..ya bisso kandidaa mobutu seseseko..yaani mgombea ni mobutu seseseko
 
Back
Top Bottom