Kimini cha kitenge kitaniua mwenzenu

Ugojwa huo hata mimi naumwa aiseee. Ukikuta mtoto usafiri unakubali weeeeee! Lazima nigande.
 
Mi kwenye vinguo navyopenda kwa wadada kitenge hakipo...
 
kimini uwe na mguu....subiri ukute mtu anatembelea mikono....

sikubali kamwe kupitwa na fasheni kisa miguu. Mimi kwa kweli ni mkaskazini asilia - ninatembelea tuthpik lakini vimini na mimi, mimi na vimini. suruali kukiwa na baridi. mie kichwani kwangu najua nimependeza, sasa kama kuna watakaoangalia miguu wanakaribishwa. ndo yangu tena hiyo, aipende nani zaidi yangu?
 

Safi sana na siku zote usikubali kuishi maisha ya watu
 

mmmh!!! sikupatii picha ungekua nao sasa huo mguu wa bia...
 
mweli wanapendeza. mi pia napenda wadada wanaivaa suti za maofini lakini mini. Basi ukute ana mguu, inaleta raha kwa kweli.
 
Sasa huyo akivaa mini si utamfuata mpaka anakoishia...suruali zina asavali...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…