Jana nimemuona dada nayemfahamu kavaa mini ya kitenge...hata mimi nimemkubali...
Kwanza sijawahi kumuona amevaa sketi; it was the first time kwangu...
Ana usafiri wa nguvu; na kile kimini acha kabisaa....!
Suruali tunazipenda sababu zinapunguza attention...si kila mara tunataka kushangawa...hasa tukiwa kwenye serious business...
kimini uwe na mguu....subiri ukute mtu anatembelea mikono....