Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Picha zinatukera sana wanaume,halafu hizo za Siri ndo balaa,Kuna siku tupo location tunakula misosi mara amenirusha mtandaoni ,aisee kuona tu nilimpigia simu fasta afute
ni kweli wanaume wengi hampendi picha hata kaka zangu ni hawapendi hizo mambo.
 


Resty ndio nani?
 
Yani nimeangalia hyo video nimejikuta namuonea huruma huyo mwanaume daaah. Halafu watu waka mutee wanashangaa tuu
 
Kwa kweli binamu. Wengine hawataki kupostiwa wanajua utawaharibia makoloni yao. Nakumbuka kuna rafiki yangu alimposti babe kwenye status; weee wacha jamaa awake eti ooh "nyumbani kwetu wakijua itakuwaje, ni familia ya dini sana". Best akamwambia huko home kwenu hakuna anayenijua wala kuwa na namba yangu. Basi muda sio mrefu best alifanikiwa kuwajua wake wenzie wengi tu teh
Wanaume walivyo malaya weee ni halali wasipende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…