nimepatwa na tezi nadhani lakini nikawa nahisi kitu kooni. sasa nimechunguza nimegundua ni kimeo kimerefuka sana. kabla sijaenda hospitali ningependa kupata maoni toka huku
Pole wahi hospitali, niliwahi kusikia huwa wanakikata lakini tafuta ushauri kwa madakari tofauti kati ya watatu mpaka watano kabla ya kufanya final decision.
Ilooo ukweli unaumaee... Ndio walee watuma post za "Jamani leo hali yangu sio nzrii" badala ya kwenda hosp ama kufata ushauri mnarukaaa kama nyani juu ya mti. polee..