Kimenuka Vigogo Mahakamani

Kimenuka Vigogo Mahakamani

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
4,507
Reaction score
1,105
SAKATA LA ESCROW: Vigogo watatu Benki Kuu, Tanesco na TRA kortini Kisutu Dar leo. Watuhumiwa kwa ufisadi wa akaunti ya Tegeta Escrow, taarifa zaidi kukujia.
 
SAKATA LA ESCROW: Vigogo watatu Benki Kuu, Tanesco na TRA kortini Kisutu Dar leo. Watuhumiwa kwa ufisadi wa akaunti ya Tegeta Escrow, taarifa zaidi kukujia.

Dah kweli wewe ni BIG-IN.... Basi aitoe iwe out ndo utapost cha maana..
 
SAKATA LA ESCROW: Vigogo watatu Benki Kuu, Tanesco na TRA kortini Kisutu Dar leo. Watuhumiwa kwa ufisadi wa akaunti ya Tegeta Escrow, taarifa zaidi kukujia.

Duu hao wamelala segerea....si ijuma leo?
 
Duu hao wamelala segerea....si ijuma leo?

weeeee nani kasema hawa wanaenda mahakamani full document yaani wadhamini walitangulia mahakamani toka jana
 
Usanii huo. Huyo aliyegawa hizo pesa mbona hakamatwi? Tena yupo anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
 
weeeee nani kasema hawa wanaenda mahakamani full document yaani wadhamini walitangulia mahakamani toka jana

Kikwete Asitake Kutufanya Sisi Watanzania Ni Wajinga,hao Vigogo Wa TANESCO,TRA NA BOT,wanahusika Vp Wakati Mwizi Namba Mmoja Ni Werema Na Ndo Aliyeidhinisha Wizi? Tunazo Data Zote Juu Ya Ujinga Anaotaka Kutulaghai Watanzania,wezi Wanajulikana Hao Vigogo Wengine Ambao Hawapo Kwenye Hii Issue Wamekujaje? Alisema Akiwa China Kuwa Amechoka Kuongoza Anatamani Akachunge Mbuzi,sasa Naona Kweli Amechoka Vibaya Sana Hadi Anaboronga.
 
Back
Top Bottom