Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Dogo alistuka demu analetewa Zawad ya BMW kwenye birthday eti imetoka kwa Kadinda ha ha ha yaan huyu superstar wao maisha yake ni kitabu sijui hii team yake kwa nini wasijiite vicheche FC

hahaa hata ukiwa boya lazma usande....kadinda maisha yke yanajulikana atoe zawadi ya gari ya 25m kwa uwezo upi......team vidogoro ni wa2 wenye maisha ya hovyo n kuuza mpapa washukuru wachina kuleta smart 4ne za laki ndio wameweza kuwa fb n insta
 
Hahahahaha!et batiki!jaman
7248aeeba2b40ad480705c52c77620bd.jpg
 
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......

Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata
....haya mafuriko ndo yamenleta huku?
..naomba tu nielekeze njia ya kufika Mabwepande!
 
Yaan zari hajiamini na siku akimwagwaaaa ataiona insta chungu mbwa huyo,,ndio maana anazunguka kama tiara ,mashavu yashachuma kunde bado Tu kujifanya mtoto na weupe wake WA dekio mxcieewww
Tulia wewe,kama zari ni mzuri atabaki kuwa mzuri tu hata mfanyeje,akimwagwa asubuhi mchana keshapata mwingine.huezi fananisha wema kimburukenge
 
Back
Top Bottom