Unatokea nchi gani?
Kupambana na maisha ni mindset kila mtu anafanya anavyoona kufrahisha moyo wake.
Kwa Tz sehemu moja tu yenye Fursa ni Dar tu ukibisha shauri yako
Sasa hao wazungu si ni raia tayari wa Afrika Kusini, tena hawana shida na ajira ambazo sisi weusi tunaenda kuzifuata huko, ukiondoa ubaguzi wa hao wazungu wana mchango mkubwa kwenye utamaduni na uchumi wa Afrika kusini kuliko wageni weusi wanaohamia
Mkiwa na rangi moja mtabaguana kwa utaifa, mkiwa taifa moja mtabaguana kwa Jinsia, mkifanana jinsia mtabaguana kwa dini, mkiwa Dini moja kipato kitaleta ubaguzi basi tu ili mradi mbaguane.