Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,891
Wafanyakazi wanaringa awataki kujua majukumu yao, manager anashinda na FB na whatsupp muda wote.
Mfano tu, Pale chini wamejaa mpaka mlangoni yuko mhudumu mmoja tu, kwenda juu folen inakunja kona ya mlango counter mbili. Yuko mmoja manager anasema anatafutwa backup wa nini si mngeweka mabox kwenye hizi counter kama azitumiki.
Hawa backup wa nini kila siku mnaombwa mnashindwa angalia wingi wa watu mnahisi tumekuja kubet mpira ama?