kimeeleweka tarime

kimeeleweka tarime

Ambaye hajamuelewa mleta mada atakuwa ndio ametoka kilabuni kupiga kangara na wanzuki. Huwezi ukajiita mwana cdm halafu usifatilie siasa za ndani, ninyi ndio mnasababisha tuitwe wap.umbavu na malofa also known as nyumbu nyammmbaaff.
 
Janani tuwe tunashughulisha ubongo kidogo, unakuwa mbumbumbu tu kwa kila jambo. Hivi ni halmashauri ngapi na manispaa ngapi Chadema wataziongoza mpaka mwenyekiti aingilie halmashauri ndogo kama tarime. Halafu katika kuongoza tarime mbowe ananufaika na nini? Mgombaniane wenyewe madaraka halafu mje kumuingiza mbowe. Wenzenu wanafikiria ni nini watawafanyia kipya kwenye halmashauri nyie mnawaza kugawana vyeo. Chadema hatugawani vyeo tunagawana majukumu ndugu.
 
nitaeleweka sasa,,nikweli watu wa tarime wanauwezo wa kujisimamia.kulikuwa na tofauti kubwa sana kati ya chadema makao makuu na kamati tendaji ya tarime. pamoja na vitisho lamakao makuu uongozi wa tarime umejisimamia kisheria na umeshinda. sasa kwakuwa order ilikuwa kwamba CHADEMA BILA TARIME INAWEZEKANA,, sisi tarime tumejisimamia tunachosubiri nikufutiwa uanachama kama ilivyotamkwa na ngazi ya juu.
 
Mi niwekeeni picha lambda nitaelewa kinachozungumzwa
 
Halafu still bado yupo JF the home of great thinkers ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah 😝😝😝😋😋

Mkuu wewe ni mkongwe sana hapa! Hivi kuna tofauti gani kati ya "still" na "bado"?
 
Mtoa mada fafanua story yako nini kimetokea tarime, kama ni issue ya mwenyekiti wa halmashauri ya mji na wilaya nani kashinda, mbowe aliingiaje kwenye sakata lenu?
 
kilichotokea tarime chadema nikama nguvu ya dola na nguvu ya umma.na umma umeshinda nadhani imeeleweka tunachosubiri nidola kufanya mapinduzi.
 
Back
Top Bottom