kimeeleweka tarime

kimeeleweka tarime

ching'wa

Senior Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
182
Reaction score
137
pamoja na mizengwe ya chadema makao kufanya mizengwe wanatarime wamejisimamia.tumeshinda halmashauri na kikao cha baraza la halmashauri kinaendelea hakuna kulala.
 
Hizi ndo thread za siku hizi...!!!

Hapo kajitutumua na kujikamua akatoka na mada hii.. Ametimua mbio utafikiri kaambiwa ukiwa wa kwanza kuanzisha mada unapewa Benz. .!! kazi kwelikweli

BACK TANGANYIKA
 
Ulikuwa ni mpambano kati ya Mbowe na Uongozi wa CDM Tarime.
 
Mbowe pamoja na ubabe wake amesanda. Ameleke makengeza yake huko kwa wafyata mikia.
 
Hizi ndo thread za siku hizi...!!!

Hapo kajitutumua na kujikamua akatoka na mada hii.. Ametimua mbio utafikiri kaambiwa ukiwa wa kwanza kuanzisha mada unapewa Benz. .!! kazi kwelikweli

BACK TANGANYIKA

Halafu still bado yupo JF the home of great thinkers ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah 😝😝😝😋😋
 
pamoja na mizengwe ya chadema makao kufanya mizengwe wanatarime wamejisimamia.tumeshinda halmashauri na kikao cha baraza la halmashauri kinaendelea hakuna kulala.

naona labda unattaka kulala kesho ukiamka soma tena halafu andika vizuri
 
yani watu wengine bana yani sijui huwa wanatokea usinguzini yani post haina kichwa wa miguu badilika
 
Back
Top Bottom