Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,500
- 145,894
Mbona anafanana na yule jamaa wa kwenye movie ya blood and bone..
R.I.P Kimbo...Sijawahi kuiona hiyo filamu ila inawezekana maana MMA fighters wengi siku hizi wana dabble katika kuigiza filamu.
Labda uangalie majina ya walioshiriki kuigiza hiyo filamu na ukiona kuna Kevin Ferguson basi huenda ndo yeye.
R.I.P Kimbo...
Nakumbuka umewahi kuitumia picha yake kama profile yako Nkwingwa..
Ni kweli jamaa ameshiriki kwenye Blood and Bones pamoja na Michael Jai White..