Ndugu yangu Kimario ni mchangamfu Bana, ni anaongea, anapenda kujisifu kweli.
sasa tumeamua kukusanyika tuchome ndafu yetu angalau tuburudike.
Kimario si akaja Bwana, ameshajipiga Safari zake kadhaa ile kufika si akang'ang'ania kutengeneza kachumbari.
eti akadai Matesha hajui kutengeneza kachumbari nzuri. Akadai raha ya kachumbari ya nyama iwe na pilipili mingi. Matesha akaamua kukaa pembeni.
Basi Kimario akaanza kukata mapilipili yake, si akashikwa na haja ndogo. Mara akachomoka chap ili akajisevu.
kilichomtokea nitarudi kumalizia. Ila Kimario cha moto alikipata niaje?
mzee kipara na jicho lake moja alikoma...Ndugu yangu Kimario ni mchangamfu Bana, ni anaongea, anapenda kujisifu kweli.