BABA E's JF-Expert Member Dec 25, 2012 354 135 Mar 12, 2016 #1 Nasikitika kusema wakazi wa Kimara hatujapata maji kwa muda mrefu. Leo yametoka kwa nusu saa tu. Tatizo langu ni kwanini hakuna taarifa zozote kuhusiana na hili. Hiyo nusu saa ni majaribio au!.
Nasikitika kusema wakazi wa Kimara hatujapata maji kwa muda mrefu. Leo yametoka kwa nusu saa tu. Tatizo langu ni kwanini hakuna taarifa zozote kuhusiana na hili. Hiyo nusu saa ni majaribio au!.