Kimara Mwisho: Majambazi wavamia maduka

Kimara Mwisho: Majambazi wavamia maduka

Patrolman

Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
17
Reaction score
3
Juzi usiku majambazi kama kumi hivi wakiwa na bunduki walivamia maduka Kimara Mwisho na kupora watu fedha na vifaa kama vile simu na vocha.Tukuo hilo lilichukua kama dk 5 hivi.
 
Ujambaz wa silaha unaongezeka taratibu Dar... kuna jamaa wanavamia usiku kwenye majumba na bunduki na kuiba simu, laptop na tv maeneo ya wazo.... juzi maeneo ya Royal oven pale mlalakuwa JKT.. jamaa walikuja na pikipiki na bastola, wakapora begi la mwana dada aliye shuka kununua vitafunwa na kumwacha mwenzie kwenye gari.... kama hawa jamaa wanatumia bastola/ bunduki kuiba vitu vidogo vidogo maana yake kwa sasa silaha ziko nyingi mtaani na ni hatari sana....Kova plz kaza buti Dar iwe salama.
 
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.....maisha bora kwa kila mtanzania......hapa kazi tu. Hizi ndizo ilani la marais wetu pendwa kwa hiyo watu wanatekeleza kwa vitendo.
 
Ujambaz wa silaha unaongezeka taratibu Dar... kuna jamaa wanavamia usiku kwenye majumba na bunduki na kuiba simu, laptop na tv maeneo ya wazo.... juzi maeneo ya Royal oven pale mlalakuwa JKT.. jamaa walikuja na pikipiki na bastola, wakapora begi la mwana dada aliye shuka kununua vitafunwa na kumwacha mwenzie kwenye gari.... kama hawa jamaa wanatumia bastola/ bunduki kuiba vitu vidogo vidogo maana yake kwa sasa silaha ziko nyingi mtaani na ni hatari sana....Kova plz kaza buti Dar iwe salama.
Royal oven pale matukio huwa ysnatokeaaga sana
 
Mussolin5 ishu ya vocha achana nayo,unaweza kuona kiboksi kidogo kama cha centimeter kumi lakin ukiambiwa kina thamani ya milion 5 usipinge
 
Last edited by a moderator:
falcon mombasa mambo ya VOCHA achana nayo..hicho kibox ndani ya dakika tano,kinakuwa valueless.
 
Kina siku nimesikia walipora mfuko wa mdada mara tu aliposhuka ktk bodaboda wakamshuti yule bodaboda risasi za miguu wakaanza na boxer yao,kumbe ndani ya mfuko walioppra kuna mkate wa tsh 2500/-
 
Back
Top Bottom