Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha mwinyi hadi mkapa, kikwete na magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami. Ukiondo kipande cha kutoka baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia ubungo hadi mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kichacho tokea kimara temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa tanroad ndugu mfugale. Huyu mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe.. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya kinyerezi, lumo, goba, segerea, tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundo mbinu kuliko kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
Kwaiyo wewe hujakubaliana kwamba kimara kuna tatizo la barabara, sasa ukiongelea barabara muhusika ni nani?Sasa kama kumbe nia yako Kuu ilikuwa ni Kumzungumzia Injinia Mfugale kwani umezunguka sana hadi unatuchosha huku ukijifanya unawahusisha wana Kimara wote utadhani labda wote waishio Kimara huko wana Chuki na huyo Mfugale wako kama ambavyo Wewe bila Kificho unaonekana unamchukia na wala hukupenda jinsi alivyosifiwa na Boss wake.
Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.
Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.
Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
Hv umepita mwananyamala mbona skwata zaidi na kumewekwa vilami japo vyembambaaKumbuka yafuatayo:-
1. Kimara-Mbezi ni squarter ie hakujapimwa na hivyo hakuna barabara iliyokidhi vigezo vya lami sawa na tegeta.
2.miundombinu haikidhi matakwa ya kuwekwa lami, maeneo mengi ni maeneo ya raia.
3.wamejaa wachaga
Kutopimwa ndio sababu kuu,hata Kigamboni maeneo mengi ndio hivyo hivyo hakuna mitaa ya kueleweka sasa utawekaje lami?Kumbuka yafuatayo:-
1. Kimara-Mbezi ni squarter ie hakujapimwa na hivyo hakuna barabara iliyokidhi vigezo vya lami sawa na tegeta.
2.miundombinu haikidhi matakwa ya kuwekwa lami, maeneo mengi ni maeneo ya raia.
3.wamejaa wachaga
Hili nalo neno🙄Tatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
Hahahahaha, waisrael hukaa pamojaTatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
Hv umepita mwananyamala mbona skwata zaidi na kumewekwa vilami japo vyembambaa
Mnalipa kodi ili zitumike kumjegea barabara mtu mmoja!!!!!Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.
Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.
Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
Hiyo barabara anapita yeye tu na mke wake?Mnalipa kodi ili zitumike kumjegea barabara mtu mmoja!!!!!
Kwaiyo wewe hujakubaliana kwamba kimara kuna tatizo la barabara, sasa ukiongelea barabara muhusika ni nani?