gambalakobe
Member
- Jul 1, 2015
- 55
- 73
MWAKA MPYA ULIANZA JUA MACHWEO.(Biblia)
Mnaosubiria saa sita kamili mmekinzana na maandiko Hasa kwa wanaiamini Biblia takatifu.
kwa mujibu wa maandiko matakatifu(biblia),siku inaanza jua jekundu la hasubuhi linapuchomoza na siku uhisha jua jekundu la jioni linapozama.amin,kimasaa tunaweza kusema kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni.
Katika kitabu cha mwanzo 1:5 "Mungu akaiita nuru Mchana,na GIZA akaliita Usiku.Ikawa jioni ikawa asubuhi,siku moja.
Kwa mantiki hiyo kwa mujibu wa Biblia mwaka MPYA tuliupokea saa kuminambili(au kulipozama jua na kuwa jekundu)
Nani kaiweka siku kuanza saa sita usiku? Nani alibadili majira na nyakati?
Niishie hapo nitaendelea nipatapo wasaa.