Haitoshi kabisa, hebu igawanye kwa 4 alafu utajua kuwa kila mwanafamilia anatumia kiasi gani kwa mwezi na hiyo ni familia ya baba mama na watoto wawili tu!
Akihojiwa na TBC katibu mkuu CWT alisema upo mchakato wa kuainisha gharama mpya za maisha kwa sasa. Sema tu wamechelewa. Hata nyongeza yenyewe haitakaribia kima cha zamani.
Wanachofanya hapa ni siasa zaidi siyo Professional people at work. Huwezi kuongeza mshahara wakati inflation inapanda kila sekunde 30. Ni changa la macho, kinachofanyika hapa ni wizi tu hakuna kingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.