Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Wataletaje kocha aliyevunjiwa mkataba na TFF? Au ndio anakuja kutoa ushahidi dhidi ya TFF kuhusiana na fedha alizodaiwa kulipwa? Hii si mikakati ya Ndumbaru dhidi ya Malinzi? Mungu wangu!
Ligi ya vpl inadhaminiwa na TBL?1. Nakubaliana nawe kwamba Azam kwao pombe ni haram, na ndio maana hawashiriki Ligi Kuu ambayo inadhaminiwa pia na TBL.
2. Nakubaliana nawe kwamba si sahihi kulinganisha Yanga/Simba dhidi ya Azam na Mbeya City, na ndio maana hata hizo timu zenye miaka sabini ulizozitaja si Yanga wala Simba, wala hukuzifananisha na Azam wala Mbeya City! Wala hizo zilizokosa viwanja miaka yote hiyo sio Yanga wala Simba, hujafananisha kabisa. Ninayefananisha ni mimi tu!
3. Na ndio maana ninapata faraja kwa mtu mwenye akili kubwa za kujua yote hayo, unapotilia mashaka akili zangu. Inshalla kwa akili zako zilizotukuka, iko siku utakuwa Rais wa Azam ama Mbeya City, na lazima kombe la klabu bingwa ya dunia lipatikane chini ya uongozi wako!
Ligi ya vpl inadhaminiwa na TBL?
1. Nakubaliana nawe kwamba Azam kwao pombe ni haram, na ndio maana hawashiriki Ligi Kuu ambayo inadhaminiwa pia na TBL.
2. Nakubaliana nawe kwamba si sahihi kulinganisha Yanga/Simba dhidi ya Azam na Mbeya City, na ndio maana hata hizo timu zenye miaka sabini ulizozitaja si Yanga wala Simba, wala hukuzifananisha na Azam wala Mbeya City! Wala hizo zilizokosa viwanja miaka yote hiyo sio Yanga wala Simba, hujafananisha kabisa. Ninayefananisha ni mimi tu!
3. Na ndio maana ninapata faraja kwa mtu mwenye akili kubwa za kujua yote hayo, unapotilia mashaka akili zangu. Inshalla kwa akili zako zilizotukuka, iko siku utakuwa Rais wa Azam ama Mbeya City, na lazima kombe la klabu bingwa ya dunia lipatikane chini ya uongozi wako!
Dah, hii timu yangu..
Kwahiyo akija Kim, lile tatizo la beki ya kati litaisha? Kim akitua tu, ule usajili bomu wa Kwizera utaonekana ni bora? Kim atakuja na miujiza ya kubadiri tabia za kina Kisiga?
Aveva bhana.. Anyway Kim Poulsen karibu Simba SC "Taifa Kubwa".
Soka la Bongo ni zaidi ya uwanjani mkuu, kama ukitembelea mazoezi ya timu hizi utagundua kuwa tofauti zao si kubwa kiasi cha kufanya timu mbuli tu zibadilishane ubingwa miaka nenda rudi.
Washabiki na viongozi wa timu hizi wanaona ni mwiko kwao kufungwa, ndio maana ushindi unatafutwa kwa namna yoyote. Ndiyo sababu pamoja na figisu zote bado wanaweza kuwa juu kwenye soka letu, wanapoenda kimataifa ndipo unapoona tofauti ya bingwa kweli na bingwa magumashi.
Nina wasiwasi tunatofautiana kuhusu tafsiri ya neno 'kulinganisha', maana kadri unavyonishangaa mimi kwa kuzilinganisha timu hizo, wewe ndio unaishia kufanya hivyohivyo! Ajabu iliyoje!mkuu utakuwa unaumwa c bure! Hujui hta ligi inadhaminiwa na nani? Binafsi kuzilimganisha simba na yanga na azam Ni kitendo cha aibu kwangu,kusema kwmba azam wana miaka Saba toka waanzishe timu Yao na still wana miundo mbinu ya kisasa ya mazoez huku hawa wakubwa wawili kila siku wapo kwny malisho ya ng'ombe,kwangu its a shame ingawa kwako Ni jambo la kujivunia
Mnapotoa mifano jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Kama unataka kulinganisha 'mafanikio' ya Simba na Yanga kimataifa dhidi ya hizi timu ngeni utakuwa unalinganisha mlima na kichuguu.
Ni timu ipi inaizidi Simba na Yanga kimataifa?
mwangalingimungu Kocha Kim Poulsen alilipwa stahili zake,tena mbele ya viongozi wa Serikali,na alisaini hati ya kuridhika na malipo yake,everything is documented.
Hewalla mkuu, ingawa sijapata kusema kuwa hakulipwa, nimesema labda analetwa kutoa ushahidi dhidi ya TFF. Kwa habari hizi, ingekuwa ni vyema kwa TFF kuja nchini. Au labda baada ya kusikia kauli yako hiyo ndiyo Simba wakaachana na mpango. Huo!Heshima kwako Mkuu!naomba Maelezo kuhusu Ngasa na mfungaji bora wa champions league.
Azam haijapata kushiriki Ligi Kuu iliyodhaminiwa na TBL? Au udhamini wa Vodacom kwa Ligi kuu ni exclusive na 100%?Ligi ya vpl inadhaminiwa na TBL?
Mnapotoa mifano jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Kama unataka kulinganisha 'mafanikio' ya Simba na Yanga kimataifa dhidi ya hizi timu ngeni utakuwa unalinganisha mlima na kichuguu.
Ni timu ipi inaizidi Simba na Yanga kimataifa?
Azam haijapata kushiriki Ligi Kuu iliyodhaminiwa na TBL? Au udhamini wa Vodacom kwa Ligi kuu ni exclusive na 100%?
Duuuh! jamaa ametumezesha matongo pori.....
tunataka ushindi sasaSimba mpaka sasa haijapoteza mechi hata moja! Mnataka nini tena?
nikumbusheni matokeo ya Mbeya City KimataifaMnapotoa mifano jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Kama unataka kulinganisha 'mafanikio' ya Simba na Yanga kimataifa dhidi ya hizi timu ngeni utakuwa unalinganisha mlima na kichuguu.
Ni timu ipi inaizidi Simba na Yanga kimataifa?