Laurent Kabila aliishi Tanzania toka 1971 alopofurushwa na Mobutu baada ya Che Guivara kumwona msanii na kumwacha. Nchini Tanzania alijulikana kwa jina la Laurent Katwale mfipa toka Sumbawanga. Hata mtoto wake Joseph alisoma hapa la kwanza mpaka yote.
Alikuwa na jamaa zake wengine aliokombia kuja Tanzania kama akona Didi Nyembo (Didier Nyembo) wakiishi pale Sinza.
Kwahiyo hawa wanasiasa kazi za usanii sio haba.
Mfano waziri wa mambo ya nje wa Congo DR baada ya Laurent Kabila kitwaa madaraka alikuwa Nyamurenge akijulikana kwa jina la Bozima Kalaha lakini jina lake halisi ni BIZIMANA KALAHARI🤣.