-Tuliambiwa Mara Navy seals wanafanya mazoezi ya Mara ya mwisho kwenda kumvamia Kim
-Tuliambiwa wale Navy waliomuua Osama wametumwa kuivamia Pyongyang
-Tuliambiwa stealth bombers ndege hatari zimetumwa kufanya kazi kumuondoa incumbent strong leader "Kim" huko NK
-Tuliambiwa nyambizi na vijidege vingine vimeenda kwenye rasi ya Korea kwenda kumaliza kazi .
-meli za kivita zilikuwa zinapambwa sana humu
Wale pro USA njooni mtupe feedback ase