Kim Jong-un afanya maadhimusho ya miaka 105 ya masisibwa taifa hilo

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,701
8,905
KIM JONG-UN AONESHA MAKOMBORA MAPYA KATIKA GWARIDE LA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA BABU YAKE, KIM IL SUNG

Katika kile kinachoonekana kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini, KIM JONG UN, haogopi chochote na yuko tayari kukabiliana na uvamizi wa Marekani, kiongozi huyo leo tarehe 15.04.2017 ameonesha makombora mapya katika Gwaride Maalum la Kumbukumbu ya 105 ya kuzaliwa kwa mwasisi wa taifa hilo la kikomunisti, KIM IL SUNG, ambaye pia ni babu yake.

Makombora yaliyooneshwa kwa mara ya kwanza leo ni yale ya kurushwa kutoka kwenye nyambizi, yaani submarine-launched ballistic missiles, na makombora ya masafa marefu (ICBM).

Makombora ya kurushwa kutoka kwenye nyambizi, aina ya Pukkuksong-2 submarine-launched ballistic missiles (SLBMs), yalipitishwa mbele ya Kim Jong Un katika malori maalum kwa mara ya kwanza huku kiongozi huyo, akiwa amevalia suti nyeusi, shati jeupe na tai, akiyapungia.

Afisa mmoja wa ngazi za juu wa serikali ya Kim Jong Un anayeitwa CHOE RYONG HAE, akiwahutubia askari katika gwaride hilo, amemlaumu Rais DONALD TRUMP wa Marekani kwa kuanzisha hali ya vita katika rasi ya Korea na kuahidi kuwa watajibu ubabe wa Marekani kwa vita kamili. Afisa huyo alisema: "Tutajibu vita kamili kwa vita kamili na vita vya nyuklia kwa shambulizi la nyuklia kwa mtindo wetu", amenukuliwa na shirika la habari la AP
7999a468f4d57c9587091a00235a3a43.jpg
2d63958baa1065b1c8f8207d673689f0.jpg
3c347d532a7245f9cf000e2ed3273630.jpg
.
 
marekani ilimwambie akifanya majaribio ya kurusha makombora atapigwa kim ajalusha kombora wala kutest lakini ameonesha tuu siraha zake kwaio nani kaogopa hapo
 
KIM JONG-UN AONESHA MAKOMBORA MAPYA KATIKA GWARIDE LA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA BABU YAKE, KIM IL SUNG

Katika kile kinachoonekana kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini, KIM JONG UN, haogopi chochote na yuko tayari kukabiliana na uvamizi wa Marekani, kiongozi huyo leo tarehe 15.04.2017 ameonesha makombora mapya katika Gwaride Maalum la Kumbukumbu ya 105 ya kuzaliwa kwa mwasisi wa taifa hilo la kikomunisti, KIM IL SUNG, ambaye pia ni babu yake.

Makombora yaliyooneshwa kwa mara ya kwanza leo ni yale ya kurushwa kutoka kwenye nyambizi, yaani submarine-launched ballistic missiles, na makombora ya masafa marefu (ICBM).

Makombora ya kurushwa kutoka kwenye nyambizi, aina ya Pukkuksong-2 submarine-launched ballistic missiles (SLBMs), yalipitishwa mbele ya Kim Jong Un katika malori maalum kwa mara ya kwanza huku kiongozi huyo, akiwa amevalia suti nyeusi, shati jeupe na tai, akiyapungia.

Afisa mmoja wa ngazi za juu wa serikali ya Kim Jong Un anayeitwa CHOE RYONG HAE, akiwahutubia askari katika gwaride hilo, amemlaumu Rais DONALD TRUMP wa Marekani kwa kuanzisha hali ya vita katika rasi ya Korea na kuahidi kuwa watajibu ubabe wa Marekani kwa vita kamili. Afisa huyo alisema: "Tutajibu vita kamili kwa vita kamili na vita vya nyuklia kwa shambulizi la nyuklia kwa mtindo wetu", amenukuliwa na shirika la habari la AP
7999a468f4d57c9587091a00235a3a43.jpg
2d63958baa1065b1c8f8207d673689f0.jpg
3c347d532a7245f9cf000e2ed3273630.jpg
.
Korea ya Kaskazini ni wazuri sana katika propaganda. Ni juzijuzi tu walipokuwa wakifanya MAJARIBIO ya kurusha makombora yao kutumia na SOLID fuel rocket Technology,
maana SIKU zote wamekuwa wakitumia FUEL rocket Technology na mara nyingi haziendi mbali ZINAANGUKA.

Magari yanayopopita uwanjani ETI kuwa yamebeba ICBM yawezekana kabisa ni DUMMIES/ BANDIA kwa ajili ya PROPAGANDA.

Kama wangekuwa na Teknolojia hitajika wasingekuwa WAKIFANYA MAJARIBIO kila leo.
Kim ajiandae KUPIGWA tu.
 
Narudia tena...
"Kifo hakikwepeki, America ni kama kifo na kimeshabisha hodi NK"

Kiduku atest, arushe, asirushe, aonyeshe, afiche....
ATACHAPWA TU.... hakuna namna.

Ni swala la muda tu na tutalijadili hapa hapa Jf
 
Soma na uelewe, ameshatishiwa kupigwa hata kabla hujazaliwa back 1950. Amewekewa vikwazo mbalimbali kwa nusu karne sasa lakini bado anaunda zana za kivita yeye mwenyewe. Wananchi wote achana na NKPA wanajua thamani ya kulinda ardhi yao. Mwambieni USA arushe hata kokoto tu kwenye ardhi ya KIM ndo mtajua kama aliyobeba ni nyuklia au mapupu.
shige2
 
Muda miaka 50+ tangu aanzishiwe vitisho!!!! Au ndo unasikia kwa mara ya kwanza. Kwa nini hawajawahi kumrushia hata nyanya tu na bado wanaona akiendelea kujiimarisha kivita tena kwa silaha kali za kemikali na kibaiolojia?
 
Soma na uelewe, ameshatishiwa kupigwa hata kabla hujazaliwa back 1950. Amewekewa vikwazo mbalimbali kwa nusu karne sasa lakini bado anaunda zana za kivita yeye mwenyewe. Wananchi wote achana na NKPA wanajua thamani ya kulinda ardhi yao. Mwambieni USA arushe hata kokoto tu kwenye ardhi ya KIM ndo mtajua kama aliyobeba ni nyuklia au mapupu.
shige2
Waulize Ndio mapupu hayo magari ni mapupu au wanatengensza wao
 
Yaani jeuri ya Kim ni hawa vibaraka wawili wa USA Japan na s korea akichokozwa tu hakuna kuremba ni kuwasapraizi tu huko SEOUL NA TOKYO na nyuklia za PYONGYANG swali la kujiuliza japan yuko tayari historia ijurudie kwenye ardhi yake eti kisa USA kasema?
 
Kiduku, yeye ameisha waruhusu USA na Trump, kuipiga NK, lakini alisema kuwa siku ardhi ya NK ikiguswa hata kwa risasi tu basi ; Washington na Pentagon tayari vitakuwa viko chaliiii.

Sasa, Unamuono, USA anachofanya hataki kupigana ile vita pekee yake anatafuta huruma za SK, China, Japan, Indonesia, na Australia.

Je, ni kwa nini USA asisimame yeye kama yeye aanzishe mziki badala yake analialia kuhitaji msaada??
Kwanza, USA hana data nzuri juu ya NK kwa hiyo kuingia naye vitani ni hatari sana maana hajui kinachoendelea.

Kumbuka, kiduku alihukumu mtu toka USA kifo, na akauawa kwa sababu alikutwa NK japo alikuwa mtu wa dini na daktari (MD), USA kimya maana kiduku hana muda wa negotiations, alisema tumemkamata hakumu ni kifo.

Tena huyu Kiduku , Baba yake na Babu yake wote siyo watu wa kisport-sport!

Na kumbuka, miaka zaidi ya 50+ NK iko katika vikwazo bado inasonga mbele.

Nikuongeezeeni tip, nyingine, NK na kiduku wanamsaidia Iran kutengeneza , kujenga na kujaribu siraha zake za nyuklia tangia 1970' hadi leo wanasayansi wengi wa NK ndiyo wanamsaidia Iran.

Kumbuka, USA bado analialia na Iran hajui afanyeje hadi sasa.

Kwa kifupi, ogopa sana mtu ambaye siraha zake hazina majaribio bado kwenye vita anaweza akakutoa nishai. Kwa sababu, yeye anaweza akapiga rocket ndogo tu kwa macho ila ukubwa wake ni wa kuharibu robo ya dunia ...

Ila kwa suala hili la NK mtu yeyote Mwenye akili hawezi kamwe kumdharau, maaana Kiduku akili zake anazielewa yeye mwenyewe.
 
imenibid nicheke tu kwa kua Leo nipo hpa kusoma tu, ngoja nipige kimya
 
Back
Top Bottom