Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,355
- 7,462
Ni Vladimir Putin ama huenda ni Putin na XI kwa mikakati Yao ya pamoja wameweza kumuingiza Kim Jon UN katika mfumo wa Dunia.
Nikisema Kim Jon UN namaanisha Korea kasakazini kama nchi tayari imerudishwa kwenye mifumo ya kidunia,yaani kushirikiana na nchi nyingine katika nyanja zote za kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni.
Nasema hivyo Kwa sababu Korea kasakazini ilitengwa na Dunia,yaani iliwekewa vikwazo, kwa Amri ya marekani kwa kile walichokiita kufuata siasa za kikomunist.
Korea kasakazini haikurushisiwa kushirikiana na nchi yoyote kwa jambo lolote,na hata nchi nyingine hazikuruhusiwa kushirikiana na Korea kasakazini kwa jambo lolote.
KK iliishi kivyakevyake TU, lkn haikukata tamaa, ilijitegemea kawa akili jasho na damu Hadi ikawa nchi yenye uwezo,sayansi na Teknolojia ya kubwa.
Baada ya Putin kuona ujinga huowa west,akaona kwani wao ni nani katika Dunia hii?
Putin akatuma watu wake wakaenda kutembelea KK Kukagua viwanda vya silaha,kisha akaahidi ushirikiano na kuisaidia.
Putin akatuma watu wake kwenda KK kuchukua wanajeshi na kuwapeleka Kursk ili wakapate uzoefu wa vita,kwa kua na jeshi KK halikua na uzoefu.
Ukweli wakaenda, na wakajifunza vita ngumu sana huko Kursk.
Leo tumeona Kiongozi Mkuu wa KK ndugu Kim akiwa Uchina kwenye sherehe za kitaifa akiwa pamoja na Putin na Xi, huku pengine kukiwa na Marais na Viongozi wa Mataifa mbalimbali walioalikwa.
Hapa Kim amepata nafasi ya kuongea na Viongozi wengine kwa ajili ya fursa za mashirikiano,nafasi hii hakuna nayo mwanzo.
Miaka ya nyuma Hali haikua hivyo, huwezi kumuona kiongozi wa KK mahala popote duniani,hawakuweza kutoka wala kutembelewa nchini kwao
Siyo Kim Jon UN wala baba yake aliemuachia kiti.
Hali hii ya Sasa inaonesha ni mwamba Putin ndio alie iratibu ya kumkomboa Kim na Korea kasakazini yake kwa kumrudisha kwenye shughuli za kimataifa.
Sasa hivi KK imeanza kua na matamko katika majukwaa ya kimataifa,kwa mfano KK ilitoa tamko kuzisaidia nchi kama Iran na hata Sierra Leone katika masuala ya kiulinzi,zamani haikua hivyo.
Haya mambo hayaji kwa bahati mbaya,Kuna kitu kinapikwa,namaanisha Kuna alliance itaibuka.
Hapa maana yake huwezi Kuipiga nchi mojawapo Kati ya Urusi,china ama KK halafu nchi nyingine mbili zikakuangali.
Ukiangalia kwa jicho la kawaida hutaona shida lkn Marekani na washirika wake wameshaona tatizo hapa,yaani maaduia zake wameungana.
Kuungana kwa nchi hizi kulitokana na usumbufu wa Marekani juu ya Mataifa haya,mfano vita vya Ukraine,mvutano wa Taiwan na china,vikwazo na makombora ya masafa marefu ya KK.
Kwa hiyo kosa la Marekani limepelekea kushirikiana kwa nchi Tatu hizi.
Baada ya muda hizi nchi zitakua na umoja wa kibabe sana.
Ikumbukwe ni Urusi ndio ilienda kufanya makubaliano na KK ya kusaidiana wakivamiwa.
Mashirikiano haya hayataishia kijeshi TU,Bali yataenda Hadi kisiasa na kiuchumi,baada ya muda KK itakua nchi yenye uchumi imara.
Kwa kifupi baada ya Urusi kutengwa,Putin akaenda kuuchukua KK na kuiingiza kwenye mifumo wa kimataifa.
Putin kaifungua KK kutoka kifungoni.kaiingiza katika mfumo