Umeambiwa Kim ndio bullet proof ya Korea? Acha kuwaza kinyumbu!Hivi kwa mfano ikatokea kuwa kipindi hiki Kim Jong Un yuko safarini vp Marekani hawawezi kuivamia Pyongyang kwa makombora ya kushtukiza.??
Ha hahaaWalimuomba atangulie ili waamini kama mkkutano upo maana Babu Trump angeweza kutaangulia au kuanda safari dogo amwambie nimesogeza siku mbele!
Ha hahhaaWalimuomba atangulie ili waamini kama mkkutano upo maana Babu Trump angeweza kutaangulia au kuanda safari dogo amwambie nimesogeza siku mbele!
Naaam malaYsia wananufaika mnooo ktka hii vita ya tembo ""..it is the historic summit, Nuke deal and trade barriers zitakuwa ndio nguzo ya mazungumzo, lakini pia Malaysia imajitangaza sana kwenye ulimwengu wa utalii na diplomasia.
Hivi kwa mfano ikatokea kuwa kipindi hiki Kim Jong Un yuko safarini vp Marekani hawawezi kuivamia Pyongyang kwa makombora ya kushtukiza.??
Kwani rais ndio anapigana vita au ni jeshi? Anapoondoka nchini kwake huweka mambo Sawa kwanza na kuna viongozi wa juu wa jeshi wanaoangalia usalama wa nchi kila sekundeHivi kwa mfano ikatokea kuwa kipindi hiki Kim Jong Un yuko safarini vp Marekani hawawezi kuivamia Pyongyang kwa makombora ya kushtukiza.??
Kweli mkuuWalimuomba atangulie ili waamini kama mkkutano upo maana Babu Trump angeweza kutaangulia au kuanda safari dogo amwambie nimesogeza siku mbele!