Kim Akubali Kukutana na Trump

Kim Akubali Kukutana na Trump

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
901
Reaction score
1,936
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Michael Pompeo asubuhi ya Leo alikuwepo Pyongyang kwa ajili kujadili mambo mbali mbali na Kiongozi wa Korea kaskazini ( Supreme Leader) Kim Jong un. Mambo waliyogusia ni denuclearization lakini pia Kufikisha Ujumbe wa Mkutano wa pili wa kilele haraka iwezekanavyo, kati ya Kim na Trump hata hivyo haijaelezwa wapi na lini watakutana.

Al Jazeera
 
Taarifa ya kuwaunga mkono watu wa kongo(L.) Dhidi ya ushambulizi wa marekani (Novemba 28,1964) inasema

"watu wa dunia nzima,unganeni na muwashinde washambulizi wa kimarekani na vijibwa vyao vyote! Watu wa dunia nzima kuweni mashujaa,thubutuni kupugana,msiziogope shida na msonge mbele wimbi juu ya wimbi. Hapo tena dunia yote itakuwa ya umma.Majinamizi ya kila namna yataangamizwa."

Nadhani Kim anamuhadaa tu mmarekani kwani Korea zote,uchina na urusi bila kusahau maeneo ya nchi za mongolia na usoviet wote wanatumia kanuni ya kirmax-lenin na hawajawahi achana ni kama wanandugu hao.
 
dah ....kim ameshakuwa wa kubembelezwa na mawigi yaaani loooooh!
 
Back
Top Bottom