Kilwa road – Mbagala kunufaika na mpango mpya wa barabara za mwendo kasi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
x1.jpg.pagespeed.ic.tV68mWVhNZ.jpg

Mradi huo utafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) na utahusu Barabara ya Kilwa kupitia Mbagala wilayani Temeke, Dar es Salaam.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Dart, Ronald Lwakatare kulingana na Sensa ya Makazi na Watu 2012, Temeke kabla ya kugawanywa na Kigamboni, ilikuwa na eneo la kilomita mraba 656 na watu 1,368,881.
 
...barabara ya Kilwa kupitia Mbagala kuelekea wapi?..mradi utaanza na kukamilika lini?
..malizia habari ama tuwekee chanzo!
 
Back
Top Bottom