Nimeshawahi kufika Kilwa Masoko lakini Kivinje sijawahi kufika.Nikiwepo pale waliniambia kivinje kuna majengo mengi sana ya kihistoria na kumbukumbu mbalimbali lakini siku sikia kuhusu Pyramid. Labda ndugu zetu wamatumbi waje watuelezee vizuri kuhusu hili.