Eng Daniel
New Member
- Jul 24, 2024
- 1
- 2
Yaani Kiluvya kwa Sumaye, 4km kutokea barabara ya Njia 6 kweli hakuna umeme?. Nguzo 17 kuwasaidia wananchi wapate Umeme imekuwa ni changamoto? Napata mashaka na seriousness wa Tanesco Kibaha.
Huko wanatakiwa kuungwa na umeme wa REA ule, walipie Tshs. 27,000/= tuYaani Kiluvya kwa Sumaye, 4km kutokea barabara ya Njia 6 kweli hakuna umeme?. Nguzo 17 kuwasaidia wananchi wapate Umeme imekuwa ni changamoto? Napata mashaka na seriousness wa Tanesco Kibaha.