Kilosa Yetu

Kilosa Yetu

Emmanuel Luoga

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
111
Reaction score
29
Kilosa Yetu tuachien wenyewe CCM Yetu Tunaimudu Hatutaki Dk Slaa Wala Mbowe Mimi Mwenyewe Kama Wao tu Nikiwa Jukwaaan Taarifa Kamil mpaka Sasa CHADEMA imepita bila kupingwa kata 3 Vijiji 8 Asanten Sana Ccm
 
mbona hueleweki we nan hapo sasa? ccm ama chadema?
 
Ungetulia habari yako ingeeleweka vuzuri sana
 
Isalimieni ccm na kalamage pale magomeni - masugu nasikia anazidi kumaliza watu kupitia policcm sasa sijui anataka kuishi peke yake, bt hayo yote ni matokeo ya ccm ,ccm oyeeeee
 
kidumu chama! na fikra za mwenyekit hata kama ni mbovu
 
Tulisha Fanya Mkutano Pale Tukaomba Police Watu Saidie Kulinda Maandamano Yetu Mpaka Kwa Dc Kueleza Kero Zetu
 
Back
Top Bottom