Kuna mawaziri wananichefua kwa lugha zao na zaidi, pale wanapogeuza haki zetu kuwa 'kilio'. mmoja wao ni Mizengwe Pinda. Utawasikia wanasema hivi:-
"nitamfikishia rais kilio chenu cha katiba"
HATULII, NYAMBAF WE!
"Rais amesikia kilio chenu cha maji"
PAMBAV! TUNATAKA HAKI YA MAJI SAFI WE UNASEMA KILIO
na waandishi wa habari watasema katika taarifa zao.....
"kilio cha wanamichezo kuhusu viwanja vya wazi......."
SHNZ! NINYI NDIO MNALIA NA NJAA ZENU. TUNATAKA VIWANJA, HATULII SISI.
Nimekasirishwa na kauli zao lakininatumaini mmenielewa waungwana.
Our PM
Can not make Decisions...... eg. Dowans, Mahakama ya kadhi, manunuzi ya VX V8.:A S-confused1::A S-confused1::frusty::frusty::faint::faint::A S-omg::A S-omg:
Can not exercise power....
Can not be trusted any more.......
We can not be fooled any more...... enough is enough,
Wewe bwana umenifurahisha sana. Inaelekea unawasoma hawa wakulu na kutafakali sana. Mungu akubariki. Hawa ndio wale waliokuwa wakituahidi kuleta maendeleo. wao wanahitaji vilio tu kila siku tuwe na vilio. Hamu yao kusikia vilio na kuvisikiliza. Vilio vilio vilio mbona wanaona kila hitaji letu ni kilio?