Kilio kwa wanafunzi wa vyuo vya ualimu

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
886
315
Habarini wakuu...
Hii ni baada ya kubadilishwa kwa mfumo wa nacte kuwa NECTA.
Wanafunzi wa vyuo vya ualimu vya serikali ikiwemo Mtwara (k) teachers college waagizwa kulipa fedha ya necta Hali ya kuwa tayari walishaitoa mwanzoni wakati wakuripoti 1/11/2016

Ushauri...
serikali iliangalie hili suala la fedha ya kiasi cha shilingi elfu hamsini waweze kurudishiwa ili waweze kuilipa kama ada ya mtihani wa grade (A) ambao unatarajia kufanyika mwezi May 2018.
 

Attachments

  • mtwara_k.pdf
    438.6 KB · Views: 82
  • mandaka(1).pdf
    5.1 MB · Views: 169
Back
Top Bottom