kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
kama cjakuelewa hvii...
Hongera sana mkuu.
kama ukawa vilekama cjakuelewa hvii...
ha haha mke mwenza jamaa anatuzenguaHahahaaa mkemwenza walah umenivunjamo mbavu
Sometimes wanaume mnakuwa na roho mbaya sana. Mnapenda kuumiza wenza wenu kisa mnajiamini mnapendwa. Chozi la mwanamke ni andiko na lazima litimie. Kama hupendi kumuona mama yako mzazi analia. Epuka kumuumiza mwenza wako. Mdhamini mke wako kama unavyomdhamini mama yako. Kujiamin kwako kwa kumtenda mwenzio just ili alie hayo machozi lazima yalipwe. Kwa namna gani yatalipwa sijui lkn dont heart a beautiful heart of a woman!!