Hamisi kiogwe
Member
- Jul 19, 2015
- 31
- 3
morogoro sehemu gani mkuu?Habari.
Unafahamu kuwa mushrooms zinaleta faida kwa anayelima? Ktk eneo la 10 x 10 unaweza tengeneza sh mil 14 kwa mwezi mmoja?
Sisi tunafanya hicho kilimo huku Morogoro na tunawafundisha watu wa huku ambao tunawaalika kwenye semina katika shamba letu kwa kiingilio cha sh. 60,000.
Kwa ambao wako mbali na moro tutaandaa semina wakati mwingine.
Kilimo cha kisasa cha mushrooms hakihitaji eneo kubwa na wala mtaji mkubwa. Huhitaji hata kuwa na mfanyakazi ila unaweza fanya mwenyewe
Kwa mawasiliano 0758 308193
Soko la uhakika lipo kama scale yako ya production sio kubwa sana. Ushaur wangu anza kidogo den hakikisha unafanya value addition ya uyoga wako hasa packaging na give it a brand name.
Ulifaidika?Hii siredi mpaka niliisahau, ila nimelima sana uyoga!! Kwa sasa nimeacha kidogo
Nifundishe na mmSana!! Nitarudi nikipata nafasi
Mimi naitaji sana mbegu za uyoga, anaefahu anijuze
Ata me pia nahitaji ila vizuri nikipata namba itakuwa vizuri zaidiWasiliana na Chama cha wakulima wa uyoga dar utapata mkuu.
Kinaitwaje?!Wasiliana na Chama cha wakulima wa uyoga dar utapata mkuu.
Sasa mkuu kipi rahisi, kupiga hizo 14mil a month au kuwashawishi watu waingine semina za 60000tsh..Habari.