MBUSHUNOTI MIINDOI
Member
- Oct 24, 2013
- 11
- 4
Kila mtanzania anapaswa kutathimini tamko la KILIMO KWANZA katika mstakabali wa uchumi wa nchi yetu. kwanza tufanye tathimini yetu sisi wenyewe kwa mchango tulioutoa katika kufanikisha adhima ya kilimo kwanza bila kuinyoshea lawama serikali
"MTANZANIA AMKA TIMIZA WAJIBU WAKO"
"MTANZANIA AMKA TIMIZA WAJIBU WAKO"