Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,282 Reaction score 4,556 Feb 28, 2013 #1 Serikali ya CCM imeitikia kauli mbinu ya kilimo kwa kishindo. Wanafunzi 246000 waliomaliza kidato cha nne 2012 wametunukiwa heshima ya kujiunga na kilimo kwa kupewa Division 0. Hongera Kikwete matunda ya uongozi wako tunafurahia
Serikali ya CCM imeitikia kauli mbinu ya kilimo kwa kishindo. Wanafunzi 246000 waliomaliza kidato cha nne 2012 wametunukiwa heshima ya kujiunga na kilimo kwa kupewa Division 0. Hongera Kikwete matunda ya uongozi wako tunafurahia