pole sana kilimo chetu hiki cha jembe la mkono na mvua ni kazi....mie mwaka huu sikulima angalau sitolia hasara ingawa kujipanga kwa mwakani itakua shughuli.....
2012 hii bado unategemea mvua! sasa hivi tunatengeneza mpango wa umwagiliaji kwanza kabla ya kulima, kwahiyo mvua inyeshe isinyeshe mambo yapo kwenye mstari. Ukitegemea mvua utalia kila siku. pole sana