Kilimo cha strawberry kinachangamoto Kama umenunua Miche tu na kupanda kabla hujajiridhisha kuhusu aina za mbegu na sifa zake
Mi ni mkulima pia na nilinunua mbegu ambazo ndani ya miezi 3 inatoa matunda
Na je umepanda mbegu gani? Kuna tristar pajero na Chandler
Upo mkoa gani nichek 0657 560542 nikuelekeze