Mtini JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 1,493 Reaction score 2,366 May 14, 2018 #1 Kama kuna mtu anajua namna ya kulima saffron na upatikanaji wa bulbs (mbegu) zake atupe hii elimu. Nimejaribu kutafuta mtandaoni naona kama ni hii kitu inaweza kututoa kwenye umasikini. Naunganisha na hizi uzi Kilimo cha Saffron Tanzania Bulb/ mbegu za zafarani
Kama kuna mtu anajua namna ya kulima saffron na upatikanaji wa bulbs (mbegu) zake atupe hii elimu. Nimejaribu kutafuta mtandaoni naona kama ni hii kitu inaweza kututoa kwenye umasikini. Naunganisha na hizi uzi Kilimo cha Saffron Tanzania Bulb/ mbegu za zafarani