MifugoKilimoTz
Member
- Apr 15, 2019
- 14
- 4
Nyanya ni zao la mboga linalolimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara.
Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani.
Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalolimwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine.
Nyanya hutumika karibu katika kila mlo.
Kulingana na umuhimu wa zao hili kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato mkulima, kuna haja ya kutoa mafunzo kuhusu mbinu bora za uzalishaji wake.
Karibu upate huduma za kitaalamu
Simu:
+255 712 253 102
+255 625 994 024
+255 765 291 489
Email:
kilimotz3@gmail.com
#Kilimo_tz
#homeofourfamers
#keepenvironmentgreen #mbogamboga #kilimo_tz #kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #homeofourfamers # #mifugo_tz #feedthefuture #dsm #tanzania #kilimo #agricultural #farmhouse #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #piripiri #farm #farming