Kilimo cha Nyanya: Ugonjwa gani huu?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Wakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa

Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi gani

Picha



Ahsanteni.
 
huyo ni mdudu anaitwa leaf miner...mimi sio mtaalam ila search humu kuna thread utapata za kueleza dawa ya kutumia.
 
Wakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa

Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi gani

Picha



Ahsanteni.
Tumia Dawa yenye kiuatilifu cha Abamectin mfano Dynamec
 
Nice comment zimeshawekwa teyari, ni leaf miner akiwa kwenye lava stage, dawa yeyote yenye abamectin au emamectin inamuondoa mfano dynamec, biotrine, balton abamectin, abamectin.
Angalizo hiki kiuatilifu kina asili ya spirit na kikipigwa na miale ya jua kinabadilika kua gas na kupotelea hewani, piga muda ambao hakuna jua yaani mchana so piga jioni au asubuh.
 
na hii ni nini mkuu,,msaada tafadhali, nimeona kwenye baadhi ya miche ambayo iko pembezoni, miche ina wiki 4 ss

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…