Kilimo cha muhogo

Ebrahim98

Member
Joined
Dec 27, 2024
Posts
6
Reaction score
9
Habari Guys, natumaini mpo salama.

Mimi ni mgeni wa kilimo, naomba kuuliza... ekari 6 za kikimo cha muhogo, kilicho tunzwa kawaida, kina wastani wa chini wa gunia ngapi?

Nineuliza sababu nilisikia watu wakibishana hakivuki gunia 100!
 
Mbegu gani imetumika?
 
Kuna forum humu ya kilimo,utakuta maelezo ya kilimo Cha muhogo huko, tafuta.
 
Mkuu nijuavyo Mimi muhogo au udaga huku Kanda ya Ziwa ni zao ambali Kwa Hela unaweza toa zaidi ya gunia 35. Sisi ndo zao lilotukuza na kutusomesha japo sikuwa makini sana kupima kuwa heka unaweza toa gunia ngapi lakini tuta Moja tu lilishiba mihogo lilikuwa linatoa gunia1 hadi2! Kuna mbegu fln ilikuwa inaachwa mwaka na miezi8 ndo inavuna Kwa kiasi hicho huku inaitwa Lumala ni Kwa ajiri udaga na Gongo tu ng'ombe akila mihogo au majani yake anakufa

Ni hayo tu
 
Habari Guys, natumaini mpo salama.

Mimi ni mgeni wa kilimo, naomba kuuliza... ekari 6 za kikimo cha muhogo, kilicho tunzwa kawaida, kina wastani wa chini wa gunia ngapi?

Nineuliza sababu nilisikia watu wakibishana hakivuki gunia 100!
Helo Ebrahim98 nbegu bora ya Muhogo mfano TARICASS-4, Mkumba n.k ukiipanda kwa mbolea na chokaa, udongo mzuri, hali ya hewa (mvua) ikawa nzuri, tegemea kupata tani 12 kwa ekari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…