Kilimo cha mpunga; Shamba la kukodisha

Kilimo cha mpunga; Shamba la kukodisha

Johede

Senior Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
110
Reaction score
68
Habari wana jf
Je nitapata wap shamba la kukodisha dar es salaam kwa ajili ya kilimo cha mpunga
 
Dar mpunga?! kwa nini umechagua Dar na si Kapunga Mbalari huko ama ifakara?!
Una muda gani tangu ujikite kwenye masuala ya kilimo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom