Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mbarali ndio napatakaUnataka kulima mpunga Mbeya sehemu gan..maana kuna mbalali,kyela na kamsamba Mbozi ambayo saiv ni mkoa Wa songwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza waje Wengine ..mi ningekusaidia Ku share ungetaka kyelaMbarali ndio napataka
Hata huko nielekeze tu nitaangalia penye urahisi
Kyela kweupe Siku hiziHata huko nielekeze tu nitaangalia penye urahisi
Wanakodisha bei gn shamba kwa heka?!Kyela kweupe Siku hizi
Ukitaka uone faida ya kilimo nenda mbalali
Njoo mbalariNdugu wanajf nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mpunga mbeya but sielewi wapi pa kuanzia
Km kuna anaeelewa naomba kujulishwa mchanganuo mfano gharama za ukodishaji shamba heka ni bei gn na mchanganuo mwengine
Niko tiari mkuuUko tayari kulala popote,maana kama huna mtaji wa kutosha inabidi ujifanye umevurugwa ili maisha yaende sambamba na wanakijiji.
Ukihitaji unatuma wapi maombi??!Sitaingia deep sana lakin in short ni iko ivi; Shamba unakodi kwa tsh 275000/ likiwa tayar limekatuliwa
-Mpunga ni wa kupandikiza
-Mbolea na Dawa za majani zinatumika vya kutosha na bila mbolea hupati kitu
-Ekari moja kulima unaweza kutumia mpaka milioni moja
-Ekari moja unaweza kuvuna magunia 22_26 kutegemeana na upandaji wako na kupiga mbolea kwa wakati sahihi
-Kilimo ni cha umwagiliaji
-Mwaka huu soko limelipa sana gunia 1 kwa sasa huku ni tsh 95000/ na itapanda zaid ya hapo
-Kilimo hiki kinataka mtaji ili uende nacho sawa usiwe na hela ya kuunga unga utakwama
-Changamoto kubwa ipo kweny upatikanaji wa eneo/shamba, wakati wa kutuma maombi ya kukodishiwa eneo wakulima huwa ni wengi mno na wengine hukosa kabisa maeneo ya kulima.
___nakaribisha maswali___!
Maombi ni msimu ukianza mwezi wa tisa au wa kumi ndio mashamba hutoka, maombi hufanyika ofisi za kampuni ya mbarali highland estates, ingawa Mara nyingi walio na mashamba tayar hulipia maeneo Yao yaleyale waliyo pewa msim uliopita, lakin maombi mapya yapo pia..ni bahati yako tu ikikaa upande wako unapataUkihitaji unatuma wapi maombi??!
Msimu uliopita maeneo mengi maji yamesumbua kutokana na hali ya hewa ilivokuwa, lakin hata iweje maji ilikuwa lazima upate tu maana ilikuwa tunanywesha kwa zamu ili wote mpate, usiogope mkuuMwaka uliopita walikuwa wanagombea sana Maji machache, mbalali, ubaruku,Igawa, mpunga halmashauri,