Eng.Rwebangira
Member
- Feb 10, 2015
- 20
- 7
Habari wanajamvi, nimepitia makala ya faida ya kilimo cha miti ndani ya jamvi iliyochangiwa mwaka 2012,Naomba mwenye mchanganuo wa kina kuhusu faida ya uwekezaji wa kilimo cha miti anipatie na pia wenye michango mbalimbali kuhusu kilimo na uwekezaji huu wachangie.Nimevutiwa na uwekezaji huu na nilipenda na mimi pia kuwekeza katika kilimo hiki.Naombeni ushauri wenu wanajamvi.