😂😂 mti mmoja 50,000/= mpaka 70,000/=Mbao saivi mti wa miaka kumi unauzwa buku mpaka buku mbili.
Daa kwa hiyo kwenye eka moja inaingia miti mingapi[emoji23][emoji23] mti mmoja 50,000/= mpaka 70,000/=
Hizi bei itakua umeambiwa na motivation speaker mkuu[emoji23][emoji23] mti mmoja 50,000/= mpaka 70,000/=
Approx 500Daa kwa hiyo kwenye eka moja inaingia miti mingapi
Kuna miradi mikubwa imeanza singida na Isimani Iringa inafanya vuzuri sanaKorosho ni kama unalima maeneo haya, kama sio usijaribu..
Tandahimba, Newala, Masasi, Nanyumbu, Mtwara DC, Nanyamba, Nachingwea, Lindi DC, Ruangwa, Liwale, Tunduru..
fanya kautafiti kidogoHizi bei itakua umeambiwa na motivation speaker mkuu
Mie nipo mafinga hapa, mti wa mbao saivi buku ukizidi sana buku mbilifanya kautafiti kidogo
yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiriNaomba ushauri ni kilimo kipi cha nazina ya baadae ni bora zaidi au kuwa na manufaa zaidi kati ya miti ya mbao dhidi ya mikorosho?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ninachokiona ni ukosefu wa exposure na miluzi mingi!!yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiri
Ahsante kaka?yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiri
siyo exposure mkuu. ni ujinga na uvivu wa kufikiri. kuna watu wanapenda watu wengine wafikiri kwa niaba yaoNinachokiona ni ukosefu wa exposure na miluzi mingi!!
mbao hardware zingekuwa zinauzwa 50/=TshMie nipo mafinga hapa, mti wa mbao saivi buku ukizidi sana buku mbili
Sasa kama mti hauna thamani si bora wachome mkaa wasafirishe mikoani, maana bei ya mkaa wa miti hiyo mepesi ni kati ya sh elf 20 mpaka 30 kwa gunia kuliko kuuza mti mmoja buku ( mara mbili ya bei ya miche 🤣🤣!!)Mbao saivi mti wa miaka kumi unauzwa buku mpaka buku mbili.