Wakuu nauliza wale wanaolima mboga mboga za majani kule Morogoro wanalima sehemu gani. Yaani ni wilaya ipi na kijiji kipi, maana nimeona mboga nyingi zinatoka huko kuingia mjini Dar es Salaam.
Mboga nyingi zinalimwa hapahapa mjini Moro kama mchicha, sukumawiki, spinach, tembele, vyote hivyo vinalimwa hapahapa mjini, kama unahitaji eneo la kupanda mchicha na vitu vidogovidogo. 0655212301
Mboga nyingi zinalimwa hapahapa mjini Moro kama mchicha,sukumawiki,spinach tembele vyote hivyo vinalimwa hapahapa mjini,kama unahitaji eneo la kupanda mchicha na vitu vidogovidogo.0655212301