Naomba wakazi wa kahama mnijuze yafuatayo,
1) Ni maeneo yapi kilimo cha mboga mboga kinafanyika au yanafaa wilayani Kahama
2) Ni vipi vyanzo vya upatikanaji wa maji katika maeneo hayo, je yanapatikana mwaka mzima
3) Vipi soko la mbogamboga na matunda kwa kahama likoje?
5) Je kuna mwamko wa vijana katika katika shughuli hii ?