mdindile Member Joined Jan 6, 2014 Posts 55 Reaction score 4 Jan 27, 2017 #1 Mwenye utaalam au uzoefu na hiki kilimo naomba msaada.. Ili kujua namna ya kulima, soko na faida zake. Nina heka moja nataka kupanda tu miti ya maparachichi kwa kisasa..
Mwenye utaalam au uzoefu na hiki kilimo naomba msaada.. Ili kujua namna ya kulima, soko na faida zake. Nina heka moja nataka kupanda tu miti ya maparachichi kwa kisasa..