S smileof faith Member Joined Mar 9, 2017 Posts 9 Reaction score 2 May 8, 2017 #1 Habari wana jamii forum, naomba nijue kitu kuhusu kilimo cha mahindi na kunde...tangu kupanda mpk mavuno huwa inachukua muda gani? kama mtu aliyeanza kupanda tangu mwezi wa tatu anategemea kuvuna lin?
Habari wana jamii forum, naomba nijue kitu kuhusu kilimo cha mahindi na kunde...tangu kupanda mpk mavuno huwa inachukua muda gani? kama mtu aliyeanza kupanda tangu mwezi wa tatu anategemea kuvuna lin?
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,257 May 8, 2017 #2 Huwa inachukua miezi minne.