Kilimo cha Mahindi Dakawa

Kilimo cha Mahindi Dakawa

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,800
Wakuu Mwenye uzoefu wa kilimo cha mahindi Dakawa kuanzia upatikanaji mashamba ya kukodi,kulima,mavuno na makadirio ya gharama kwa heka kuandaa shamba mpaka kuvuna.
Natanguliza shukrani.
 
Wadau waje watusaidie
 
Dakawa ni sehemu ambayo ni Tambarale kipindi cha masika mvua huwa ni nyingi(hadi afuriko huwa yanakuwepo),nakushauri kwa Dakawa zao litakalofaa ni Mpunga,kama ni Mahindi nenda kata ya Doma,Pemba,Maskati,Kibati,Diongoya,Homboza etc
 
Mku dakawa ipo Gereza la mbigiri au
 
Dakawa ni sehemu ambayo ni Tambarale kipindi cha masika mvua huwa ni nyingi(hadi afuriko huwa yanakuwepo),nakushauri kwa Dakawa zao litakalofaa ni Mpunga,kama ni Mahindi nenda kata ya Doma,Pemba,Maskati,Kibati,Diongoya,Homboza etc
Asante kwa ushauri
 
Wakuu Mwenye uzoefu wa kilimo cha mahindi Dakawa kuanzia upatikanaji mashamba ya kukodi,kulima,mavuno na makadirio ya gharama kwa heka kuandaa shamba mpaka kuvuna.
Natanguliza shukrani.
siyo sehemu nzuri ya kulima mahindi kuna joto kali,mahindi hayastawi vizuri ila mpunga una stawi vizuri
 
Back
Top Bottom